SHAMBA LA BABU

Tunajishughulisha na uuzaji wa maziwa halisi ya Ng'ombe, Kuku wa kienyeji na wa kisasa (layers na broylers) waliosindikwa na wazima, mayai ya kienyeji na ya kisasa. Pia tunauza Samaki wa aina zote. Bei zetu zinalenga kuwafurahisha wateja na kumfanya ajisikie yupo shambani kwa babu. Tupo Tangibovu karibu kabisa na magari yaendayo Goba utaona bango letu. KARIBU SANA.

Friday, 21 April 2017

Familia hufurahi zaidi minofu ya kuku ikiwa imetengwa mezani. Furaha ya familia ni kula kitu roho inapenda!!! Karibu shamba la babu tufurahi pamoja.
Posted by SHAMBA LA BABU at 10:03 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

 Afya ya mtoto ni furaha ya mzazi. Afya ya mtoto inategemea na aina ya vyakula unavyompa. Jenga desturi ya kumpa vyakula vya protini kama maziwa na mayai ya kienyeji yanayopatikana hapa shamba la babu ili kumlinda mwanao. Maziwa yetu ni halisi kutoka kwenye Ng'ombe wanaokula vyakula vya asili zaidi ili kutengeneza maziwa yenye virutubisho vya kutosha. Mayai yetu ya kienyeji yanazalishwa na kuku wanaookoteza nje na hivyo kuwa na virutubisho vya asili na si kemikali. Ubora wetu ni wa kujivunia. Tumeanza na wengine wataiga.
Posted by SHAMBA LA BABU at 09:17 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

About Me

SHAMBA LA BABU
View my complete profile

My daily stories

  • ►  2023 (1)
    • ►  June (1)
  • ▼  2017 (4)
    • ▼  April (2)
      • Familia hufurahi zaidi minofu ya kuku ikiwa i...
      •  Afya ya mtoto ni furaha ya mzazi. Afya ya m...
    • ►  March (2)
Travel theme. Powered by Blogger.