Thursday 30 March 2017


Tunajivunia kuwa na bidhaa zenye viwango unavyovihitaji wewe mlaji. Karibu ujipatie kuku wenye viwango vyako. Kwetu kila siku ni sikukuu.

Sunday 19 March 2017

Aina hii ya Ng'ombe inaitwa Jersey ambao maziwa yake yanapatikana kwenye duka letu la SHAMBA LA BABU.
Maziwa yake yanafaa sana kwa watoto wadogo kwani yana protein za kutosha kumfanya mtoto awe na afya nzuri.
Pia yakigandishwa vizuri maziwa haya utayafurahia kama mtindi na hivyo kuwa  kiburudisho kizuri baada ya mlo wako wowote.

Wengi waliofika dukani kwetu wamesifia maziwa haya na wengi wameweka bili kwa ajili hiyo.